WASICHANA 38 WAFARIKI WAKIELEKEA KWENYE SHEREHE ZA MSWATI

Wasichana wapatao 38 wamekufa katika ajali ya gari nchini Swaziland wakati walipokuwa wakisafiri kwenda kwenye sherehe ya kitamaduni.

 227554

Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Swaziland, Solidarity Network limesema wasichana hao waliokufa walikuwa wamejeruhiwa vibaya wakati gari lao lilipogongana na gari jingine siku ya Ijumaa.

Walikuwa njia kwenda katika jumba la mfalme wa nchi hiyo katika ngoma maarufu ya kitamaduni.

(AP Photo)
(AP Photo)

Kila mwaka kiasi cha wasichana wapatao elfu arobani hushiriki kwenye sherehe hizo za kitamaduni za siku nane.

Hupita mbele ya mfalme wakiwa nusu uchi. Mashirika ya kutetea haki za binadamu wamekuwa wakipinga sherehe hizo kwa kusema zimepitwa na wakati na ni za king’ono.

Swaziland's King Mswati III arrives with his regiment for the annual Reed Dance at Ludzidzini in Swaziland

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s