SOKO LA HISA NCHINI LA LIMEPANDA TENA KWA MARA 17

Soko la hisa nchini limepanda mara 17 na kufikia idadi ya mauzo ya bilioni 29.8 kwa jumla ya sekta mbalimbali zilizo chini ya soko hilo.

DSC_0828

akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam meneja masoko wa soko hilo Patrick Mususa amesema hisa zilizouzwa zimefikia milioni 11 huku sekta ya kibenki ikipanda hadi point 37, kibiashara pointi 87 pamoja na viwanda.

“kuhusu wateja ambao wananunua na kuuza hisa zao kupitia mtandao nikiwa namaanisha kupitia simu za kiganjani wamefikia 200 pia bado tunaendelea kupokea maombi ya wateja ambao wanahitaji maelekezo”, alisema Mususa.

kuhusu kampuni zilizoongoza katika soko hilo amezitaja kuwa ni USL, NMB, na SWIS pia zilizoshuka ni ACA, EABL, NMG lakini ameyataja makampuni ya CRDB, TBL, pamoja na TOL, kwamba idadi yao ya mauzo imepanda.

Written By Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s