TGNP WAZINDUA ILANI YA UCHAGUZI MKUU

Afisa habari wa shirika la mtandandao wa kijinsia TGNP Melkizedeck Karoli amezindua ilani ya uchaguzi iliyotolewa na taasisi hiyo kwa kushirikiana na taasisis nyingine zinazotetea haki za wanawake na watoto.

Screenshot_2015-09-01-19-30-24

Katika uzinduzi huo umehudhuriwa na mwenyekiti wa Chama cha ACT WAZALENDO ambaye alizindua rasmi ilani hiyo iliyosheni maelekezo kwa wanasiasa hususani kipindi hiki cha uchaguzi mkuu

Baathi ya maelekezo yaliyomo katika ilani hiyo ni pamoja na “Ni marufuku kwa chama chochote cha siasa kumbagua mwanachama kwa misingi ya jinsi,Kuzingatia kanuni za maadili ya uchaguzi ili kujenga jamii inayoheshimu utu na haki za binadamu,kukemea wagome wagomea watakaotumia lugha chafu kudhalilisha wanawake.”

Kongamano hilo linajumuisha wawakilishi wa makundi mbalimbali katika jamii kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini,ambapo shughuli mbalimbali zinaendelea mpaka siku ya ijumaa tarehe 4/09/2015.

Written by Prince Pat.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s