Wanafunzi wa kiislamu nchini, watakiwa kusoma kwa bidii

Ufaulu wa wanafunzi wa kiislamu nchini kwa upande wa shule za msingi katika elimu ya dini ya kiislamu umepungua kwa asilimia 40.1 kutokana na mtihani wa kitaifa uliofanyika agosti 21 mwaka huu.

IMG_8895

hayo yamesemwa na afisa mwandamizi wa taasisi ya Islamic ducation Panel Suleiman Daudi wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini  Dar es salaam kuwa mtihani huo umeshirikisha shule 3,094 katika mikoa 26 zenye wilaya 127 ambazo zimeshiriki.

kiongeza bwana Daudi amesema mtihani huo ulijumiuisha wanafunzi 93,101 waliosajiliwa ambao kati yao walioshirii ni 86, 613 ambapo jumla ya watahiniwa ni 12, 421.na waliofaulu kwa alama za juu ni wanafunzi sita ambazo alama hizo ni asilimia 98.

“kutokana na changamoto zilizopelekea kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi tutajitahidi ili kuongeza ufaulu pia matokeo yote yanapatikana ofisini kwetu endapo mtu yeyote atahtaji,” alisema Daudi.

Written By Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s