Waandishi wa habari watakiwa kutoa elimu.

Vyombo vya habari nchini vimetalkiwa kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha umma wa watanzania juu ya suala zima la umuhimu wa kujua malengo endelevu ya maendeleo ya milenia ya mwezi ujao.

IMG-20150903-WA0001

akizungumza na wahariri wa habari nchini mratibu wa asasi ya kiraia Beyond 2015 Stephen Chacha yenye kampeni hiyo barani afrika amesema mkakati wao ni kufikia watu wa aina mbalimbali.

chacha amesema wahariri hao wamekutanishwa ili waweze kufikisha ujumbe kwa wananchi katika ngazi mbalimbalijuu ya malengo pia disemba 21 mwaka huu kutakuwa na mkataba mpya wa dunia utakaohusu masuala ya mazingira utasainiwa Paris nchini ufaransa.

“Kwa ufupi ni mpango wa maendeleo ya dunia ili kuhakikisha mambo yote yanaendelea kwa wakati mmoja ambapo lengo kuu ni kuondoa umaskini.” alisema Chacha.

aidha aliongeza kwa kusema kampeni hiyo ambayo inahusisha mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi za kiraia 1200 kutoka nchi zaidi ya 200 ulimwenguni pia ni mpango wa miaka 15 ijayo ambao unaanza 2016 hadi 2030

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s