Nisha Asusiwa Bethidei

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mastaa wenzake kususia shughuli ya siku yake ya kuzaliwa ‘bethidei’.

NISHA88

Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita katika Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi-Beach, Dar lakini cha ajabu hakuna staa hata mmoja aliyehudhuria zaidi ya timu yake ‘Team Nisha’ na muongozaji wake wa filamu, Leah Richard ‘Lamata’.

Kutokana na kitendo hicho, Nisha alihuzunishwa na kitendo hicho kwani hakutegemea kama wangemfanyia hivyo kwa kuwa walikuwa na mwaliko.

“Lakini yote kwa yote namshukuru Mungu kwa kuwa nimetimiza miaka kadhaa,” alisema Nisha aliyejikuta akiangua kilio cha furaha wakati akikata keki.

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s