Serikali yazindua mfuko wa fidia

Waziri wa kazi na ajira Mhe. Gaudensia  kabaka ameutaka uongozi mzima wa wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kuhakikisha unatoa elimu pamoja na kuhamasisha wafanyakai nchini juu ya kujiunga na mfuko huo.

DSCN5410

waziri kabaka amesema hayo jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa nfuko huo ambao umefanyika  leo kwenye ofisi za wizara yake ili wafanyakazi na waajiri waweze kutambua  haki na wajibu wao.

Pia ameyataja baadhi ya majukumu ya mfuko huo kuwa ni kusimamia uendeshaji wa shughuli za kimfuko, kutengeneza, kutekeleza na kupitia sera zinazo husiana na fidia kwa wafanyakazi kulingana na  matakwa ya sheria ambayo kwa wafanyakazi ya mwaka 2008.

Amesema zipo changamoto nyingi ambazo mfuko utakabiliana nazo hasa katika siku za mwanzoni katika kufikia malengo ambayo yamewekwa ili kuweza kutatua matatizo yanayowakumba wafanyakazi wwapo kazini.

DSCN5431

Naye mwenyekiti wa mfuko huo Emmanuel Humba amesema watanznia wanaweza kufaidika na mfuko huo kwani kuna mafao mengi kwa wafanyakazi kama huduma za matibabu, malipo ya ulemavu pamoja na mambo malimbali.

Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s