TPP YAMUUNGA MKONO LOWASSA

Baada ya tume ya taifa ya uchaguzi NEC kukizuia chama cha Tanzania People’s Part (TPP) kushiriki katika uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu mwenyekiti wake Amphrey hauli amewataka wanachama wake kumpiga kura  waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.

IMG-20150904-WA0002

Akizungumza na waandshi wa habari jijini dar es salaam amesedma ni bora wafuasi wake pamoja na wananchi kumpigia kura lowassa ambaye anawakilisha umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) kutokana na chama chake kushindwa kukabidhiwa fomu za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi huona tume hiyo kwa sababu jakipo katika orodha ya vyama 22 vinavyo tambulika na tume hiyo.

“Mnadai kuwa chama hakiko kwenye orodha ya vyama 22 vilivyo sajiliwa je mlikuwa mnapata wapi jina la chama chetu na kutangaza tulete majina mawili ya wajumbe wa kamati za tume,” alisema Hauli.

Kwa mujibu wa barua ambayo imetoka katika tume hiyo kwenda kwa chama hicho ilieleza kuwa kutokana na sharia ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 ambayo ina ainisha kwamba msajili wa vyama hivyo ndiye mwenye mamlaka ya kutoa usajili na kwenye orodha ya vyama 22 vyenye usajili nchini chama hiko hakipo.

Written By Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s