Utata waibuka Baada ya Wolper Kuvishwa Pete

Baada ya hivi majuzi staa wa Bongo Movies,  Jacqueline Wolper  ‘Jacqueline Lowassa’ kuwepa picha mtandaoni akivishwa pete na mchamba wake,siku  ya jana kumeibuka  habari za udaku sambamba na picha zikimuonyesha jamaa huyo aliyemchumbia Wolper akiwa kwenye kwenye vazi la harusi na mwanamke ambaye inasemekana ni mkewe.

wolper7654_(1)

Habari hizo ambazo hazijathibitishwa na jamaa huyo wala Wolper zinadai kuwa jamaa ni mme wa mtu wa  ndoa  ya mwaka 2014 nchini Congo na kwa sasa mkewe yupo nchini humo akiwa hana taarifa yoyote juu ya uchumba huu wa mumewe.

WOLPER879

Chanzo: bongomovies.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s