Chama cha TPP chapigwa marufuku kushiriki Uchaguzi.

Written By Dauka Somba

Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini imeendelea kushikilia msimamo wake kwa kutokitambua chama cha Tanzania people’s Party(TPP) miongini mwa vyama 22 vilivyosajiliwa kisheria.

DSC_1459

Hayo wameelezwa leo jijini dar es salaam na msajili msaidizi wa vyama hivyo Sisti Nyahoza baada vyombo vya havbari nchini kutoa taarifa ya mwenyekiti wa chama hicho Hamphrey Hauli aliyedai ofisi hiyo ilisajili chama hicho ambapo ilitolewa September 4 mwaka 2015.

Nyahoza amesema  chama hicho kilifutwa katika orodha ya vyama 22 vilivyosajiliwa tangu machi 20 mwaka huu kutofanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa mnamo 2002 ambapo ilisababisha kupoteza sifa ya wao kuwa kwenye usajili wa vyama hivyo.

“kutokana na chama cha TPP kuwa hakikufanya uchaguzi msajili alifanya jitihada za kuwataka wafanye uchaguzi  msajili alifanya jitihada za kuwataka wafanye uchaguzi lakini hawakufanya na ndipo ofisi ikifituta chama hiki.” alisema nyahoza.

Amesema sharia ya vyama hivyo katika kifungu cha 7 (3) sura ya 358 inakataza taasisi yoyote kufanya kazi kama chama cha siasa bila ya ruhusa kwa mtu kufanya shughuli hizo kwa jina la chama ambacho hakimtambui kama mwanachama au kiongozi.

wiki iliyopita bwana hamphrey alilalamikia tume ya taifa ya uchaguzi pamoja na msajili wa vyama hivyo kuwa wamekinyima haki ya kikatiba chama chake kushiriki katika uchaguzi mkuu kwa madai kuwa hakikusajiliwa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s