Eddie Kenzo ashinda tuzo ya Artist of the year, ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Diamond.

Eddie Kenzo kutoka nchini Uganda ameendelea kupeperusha bendera ya nchi yake vizuri baada ya kushinda tuzo nchini Nigeria ambayo utolewa na Nigeria entertainment awards (NEA) ambazo zilifanyika September 6 huko New York nchini marekani.

Eddy-Kenzo

Katika kipengele hicho ambacho wasanii kutoka nje ya Nigeria uwania tuz hiyo kulikuw na wasanii, Diamond(Tanzania), Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), StoneBway (Ghana) pamoja na Eddie Kenzo kutoka Uganda.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s