Murray atinga 16 bora

Andy Murray atinga hatua ya 16 bora kwa kumfunga Thomaz Bellucci katika michuano ya US open inayoendelea nchini Marekani.

 andy_murray

Muingereza Andy Murray amepata mafanikio mepesi katika michuano ya US Open mnamo raundi ya nne baada ya kumcharaza mfululizo Mbrazili Thomaz Bellucci.

Murray alikuwa akihitaji seti tano kushinda duru yake ya awali lakini kwa ushindi wa seti 6-3 6-2 7-5 mjini New York ulifanya mambo yawe mepesi kwake.

Kwa ushindi huo atakipiga dhidi ya Kevin Anderson wa Afrika ya Kusini katika hatua ya kumi na sita bora siku ya jumatatu
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s