Soko la hisa lashuka kwa asilimia 78

Soko la Hisa nchini limeshuka kwa 78% kutoka bilioni 29.8 hadi 6.4 kutokana na mauzo kupungua kuanzia 60% mpaka 4.1 katika wiki hii.

DSC_0835

katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Meneja miradi jijini Dar es salaam meneja miradi wa soko hilo Patrick mususa amesema takwimu hizo zipo sambamba na idadi ambayo imekua kutoka trilioni 9.7 hadi 9.9

Mususa ameyataja baadhi ya makampuni yaliyoongoza katika kununuliwa hisa zake katika soko hilokuwa ni CRDB ikiwa na 91% TBL 7% na NMB 0.5%  na kwa upande yaliyokuwa na ongezeko la bei ni Uchumi supermarket 5.5%, KCB 4.4% pamoja na NMB 3.5%.

Akiongeza Mususa amesema kuwa Kiashiria katika soko hilo kimepanda kwa wastani kutokana na ongezeko la huduma za kibenki na kifedha kwa point 62, viwanda point 20 pamoja na kufuatiliwa na sekta ya kibiashara iliyo na point 4.

“Kutokuwepo kwa makampuni mengine katika soko la hisa nadhani kutokana na uelewa, hofu au mikakkati yao lakini napenda kusema kwamba soko la hisa ni njia nzuri ya kukuza mitaji yao tofauti na kuchukua mikopo iliyo na riba tofauti na soko letu ambayo mikopo hiyo inayotolewa katika mabenki,” Alisema Mususa.

Written By Dauka Somba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s