Audio: Juma Nature athibitisha kuipigia kampeni CCM

Msanii mkongwe  Juma Khassim Nature ametangaza rasmi kurudi na kukipigia kampeni chama Tawala CCM. Aliyasema hayo siku ya jana alipokua akifanya mahojiano na waandishi wa Habari kuhusiana na msimamo wake kwenye kampeni za kisiasa ambapo pia alifatana na Mgombea ubunge  jimbo la Mbagala  Issa Mangungu.

JUMA

Kama unamfatilia kwenye mitandao ya Kijamii basi utakua uliwahi kuona Post aliyoiweka akiwa na Mgombea uraisi kwa tiketi ya UKAWA Mh.Edward Lowasa na Kuandika Caption iliyoashilia kuwa alikua anamuunga mkono,  Aliandika “Mungu yunasi mloshindwakunitumia kikazi msinilaumu” 

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s