Flaviana Matata apata shavu la kuwa balozi wa Utalii jimbo la New York nchini Marekani

Mwanamitindo Flaviana Matata ameteuliwa  na Wizara ya Maliasili na utalii kama Balozi wa Utalii wa Tanzania‘Good Will Ambassador’ kwa jimbo la New York, Marekani.

matata

Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku  kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, Mapema jana katika ofisi za wizara hiyo.

Flaviana Matata atakuwa Balozi wa Utalii kwa muda wa miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza  vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.

Chanzo: teamtz

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s