Kevin Hart atangaza tarehe atakayofunga harusi na mchumba wake Eniko Parrish

Muigizaji na Mchekeshaji wa Marekani Kevin Hart ametangaza kuwa tarehe 8 mwezi August mwaka 2016 itakua siku atakayofunga ndoa na mchumba wake Eniko Parrish

hart

Kevin Hart alitoa taarifa hiyo chungu kwa warembo wengine ambao bado wanandoto ya kuwa naye kwenye kipindi cha “Entertainment Tonight”, Kevin alisema “We’re gonna go August 8th, next year man. That’s right ladies. I’ve got to put this chocolate in the freezer.”

“So if you wanted a piece, you better take that want and put it in your pocket, because you ain’t gonna get it, because it’s happening, August 8th. I’m going to lock this love up in a box.”

Kevin Hart alimchumbia Eniko Parrish mwezi August Mwaka jana.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s