Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

Staa filamu nchini Tanzania Vicent Kigosi maarufu kama Ray amesema kuwa ndani ya mwaka huu ameweza kuwatambua wasanii ambao wana akili na ambao hawana akii timamu kwa kile kinachoendelea hivi sasa nchini.

RAY145

Ray ameyasema hayo kupitia akaunti yake ya Instagram kushangazwa na wasanii ambao wanabezana kisa kuchagua chama cha kusapoti katika kipindi hiki cha kampeni ya uchaguzi mkuu.

“Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na tofauti nilitegemea kuwa 2ngekaa pamoja nakujua madhaifu ya chama na chama gani kitatufaa ili kiweze kutusaidia maslahi ye2 pamoja na maslahi ya wananchi wanaoishi maisha ya tabu kwenye nchi yenye kila aina ya utajiri badala yake 2napambana wenyewe kwa wenyewe. Jamani wasanii mmesahau shida zetu zote kwa kipindi hiki kifupi cha uchaguzi kumbukeni siasa si kazi yetu kazi yetu ni sanaa tusiwe wajinga huu ndio wakati wa kuwafunza viongozi waliokuwa wanaidharau tasnia ya sanaa na wananchi waliokuwa wakiwaona ni sawa na box lisilo na bidhaa ndani yake najua wasanii wenzangu kwamba kipindi hichi ni cha mavuno lakini tuangalie tusije tukala mpaka mbegu na kuzipata tena mbegu zingine mpaka miaka mitano ijayo sasa sijui kipindi chote hicho maisha yatakuwaje? Maana kuna maisha mengine baada ya uchaguzi.

WAZUNGU WANASEMA HIVI. To be a rich is not what you have in your account but what you have in your heart. Sijui nimepatia hiki kizungu haya walimu twende”.

Vicent Kigosi ‘Ray ‘ @raythegreatest on instagram

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s