Diamond Platnumz ametangazwa kuwania Tuzo za MTV Europe “MTV EMA” kwa mara nyingine

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametangazwa kuwania Tuzo za MTV Europe “MTV EMA” kwa mara ya pili, Mwaka jana alitangazwa kuwania Tuzo hizi pia japo hakufanikiwa kushinda.

Diamond Platnumz ametangazwa kwenye kipengele cha ‘African Act’ ambapo anachuana na Davido, Yemi Alade, AKA na msanii mmoja ambaye atapendekezwa na mashabiki lakini ni kati ya Wizkid, K.O, Stonenwoy, Cassper Nyovest na Dj Arafat.

Tuzo hizo zitatolewa tarehe 25 mwezi October huko Millan nchini Italy.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s