Walter Chilambo azungumzia matumizi ya milioni 50 alizoshinda kwenye BSS 2013.

Mshindi wa bongo Star Search 2013 Walter Chilambo amezungumzia matumizi ya milioni 50 alizopewa kama zawadi. Walter amesema ” milioni 50 nilizopata nimezitumia kwenye mambo mengine kabisa kana kunuua gari na mengine ya kwenye maisha na sio muziki  “.

Walter Chilambo

Walter anaendelea kusema  muziki wake ulisimamiwa na kampuni ya simu ya Zantel na wadau wengine wa muziki .

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s