Changamoto zaikwamisha shirika la tija la taifa (NIP)

Shirika la tija la taifa NIP bado lina kabiliwa na changamoto lukuki hali ambayo inapelekea kukwama kwa shughuli nyingi za kiutendani ndani ya taasisi hiyo ya taifa.

DSCN5525

Hayo yamesemwa leo jijini dar es salaam katika kikao cha bodi ya wakurugenzi katika shirika hilo na msemaji wa shirika hilo bwana Joel mlanzi, amesema shirka hilo linakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinapelekea kuathiri utendaji wa kazi, wafanyakazi na shirika lenyewe.

“Mheshimiwa mwenyekiti pamoja na wafanyakazi wa shirika kuendelea kutoa mchango mkubwa kwa taifa, shirika bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine huathiri utendaji wa kazi wa wafanyakazi hawa pamoja na shirika lenyewe,” alisema Mlanzi.

DSCN5964

Aidha bwana Mlanzi aliongeza kwa kuzitaja changamoto hizo ikiwa ni pamoja na maslahi duni, idadi ndogo ya wataalamu, ukosefu wa magari, ukosefu wa mitaji, ukosefu wafedha za kuwaendeleza wafanyakazi, na ukoefu wa uwezo wa kuwafikia wadau mbalimbali hasa wasio katika sekta zisizo rasmi

DSCN5949

Kwa upande wake mgeni rasmi ambaye ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Prof Samuel Wangwe amesema atajitahidi kuzishughulikia changamoto hizo na kuwasisitiza wafanyakazi kuwa na umoja.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s