Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM  wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.

JB00

Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)…watu wamepaniki sana…Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo…mashabiki… Daah .. Daah…Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia…Tunashirikiana….Mashabiki mnisamehe kama nimewakosea…Ila ningefurahi siku moja watoto hawa wakirudi kundini pamoja na yule mwingine w…..Nawapenda.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s