Mr. Blue: Mke wangu nilimpatia club

ikiwa siku kadhaa zimepita tangu mr. Blue aachie wimbo wake wa baki na mimi, Mr. blue amesema kuwa wimbo huo unagusa kabisa maisha yake halisi ya yeye na mke wake warda na kusema kuwa mkewe alimpata club.

blue-1

Kwa mujibu wa mtandao wa bongo5 umeandika kuwa mr. blue amesema kuwa wimbo wake wa baki na mimi umeandikwa kutokana na maisha yake halisi.

“Wimbo huu unagusa kabisa maisha ya mimi na mke wangu Warda kwa asilimia kubwa, wengi hawajui kuwa mke wangu nilikutana naye club, mazingira ambayo wengi wanadhani kuwa si mazuri kwa mwanamke, lakini kwangu ni tofauti kwa kuwa mke wangu ana sifa zote za kuwa mke,” alisema Blue.

wahidablue

Mr. Blue na mke wake Warda wamepata mtoto wa pili wiki iliyopita na wamempe jina la Khairriyah. wameandika.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s