Picha: Kylie Jenner kwenye Cover la jarida la ‘Galore Magazine’ Utapenda

Mdogo wa Kim Kardashian kylie anatamani sana kukua ili awe kama dada zake.

Mwanamitindo huyo mwenye umri wa 18 ameCover jarida la Galore Magazine na hizo picha zake utazipenda.

kaylie

Kwenye Picha za Jarida hilo, Kylie ameonesha sehemu nyingi za mwili wakekuwakumbusha kuwa kwasasa anamiaka 18 ni anaruhusiwa.

kylie 7

Kuhusu kufikisha Miaka 18, Kylie amesema “It just makes no sense that even a month ago people were complaining that I was too young to be doing certain things, and now people are just okay with it because I’m grown.”

Kuhusu mtu anayemuangalia zaidi (Inspire), Amesema  “Kim has definitely inspired the business side of me the most. It’s her work ethic.

Kuhusiana na Mitindo yake, Amesema “I have a good taste in style. I know what people are going to like and I know what people are not going to like.”

kylie kylie 3 kylie 2 kylie 6 kylie 5 kylie 1 kylie 4

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s