Young Dee asema anatamani kufanya collabo na Diamond na Patoranking wa Nigeria, aweka wazi mgombea uraisi anaye muunga mkono

Young Dee amesema wasanii anaotamani kufanya nao kazi kwasasa ni Diamond Platnumz na Patoranking wa Nigeria.

young

Young Dee na Ben pol wakati wa utengenezaji wa Video ya “Do it” Inayoamasisha wananchi kupiga kura kwa Amani.

Paka Rapper kama anavyojiita aliweka wazi nia yake ya kufanya kazi na wasanii hao  siku ya jana wakati akijibu maswali ya mashabiki zake kupitia kipengele cha Kikaangoni katika ukurasa wa facebook wa EATV, Pia Young D aliweka wazi kuwa yeye anamuunga mkono mgombea uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli,

“Mimi namuunga mkono Dk. Magufuli, hata hivyo sidhani kama ni kosa kwa msanii kumuunga mkoni kiongozi fulani sababu hata msanii ni mwananchi wa kawaida lakini pia kwetu sisi hii ni biashara,” alisema Young D.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s