JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.

MAHABUSU_COVER

“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki….Adam Kuambiana….ana sauti, ana hisia na anajua….Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi kutamba katika movie ya REGINA wanakuja pamoja katika movie yao ya mahabusu…..tarehe 14-9-2015 itakuwa madukani…usikose kuwaona mafundi hawa”.

JB aliandika mara baada ya jkuweka picha hiyo hapo juu.

Chanzo: bongomovies.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s