TNRF YAZINDUA KAMPENI YA MAMA MISITU

Written By Dauka Somba

Jumuiko la maliasili Tanzania TNRF wamezindua kampeni ya runinga na mama misitu yenye mlengo wa kuelimisha jamii dhidi ya matumizi sahihi ya misitu kwa maendeleo ya taifa,

DSCN5669

Akizindua kampeni hiyo jijini dar es salaam mkurugenzi wa idara ya misitu na ufugaji wa nyuki kutoka wizara ya ma;liasili na utalii Gladness Mkamba amesema kuwa kampeni hiyo itasaidia kuongeza uelewa na matumizi sahihi ya misitu na kuchochea upandaji miti na kuifadhi iliyopo.

aidha aliongeza kwa kusema ni vyema kuwa na maeneo maalumu ya kuvuna mkaaili kuondoa uchomaji holela wa misitu usiofuata sharia halikadhalika matumizi bora ya maliaasili ikiwemo mimea hivyo wizara itashirikiana kikamilifu na wadau wa mazingira nchini.

Kampeni hiyo pamoja na washirika wake CTFCG na MJUMITA na inalenga kuleta mabadiliko katika sekta ya mkaakutoka kuwa tatizo  hadi kuwa fursa muhimu hivy basi vipindi vya runinga vya mama misitu vitaanza kurushwa nchini ili kuibua mjadala juu ya uboreshaji ndani ya sekta hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s