Audio: Patoranking asema wasanii wa Tanzania anawakubali ni Ali Kiba na Vanessa Mdee.

Mkali wa My woman, My everything patorankig amewataja wasanii wa Tanzania ambao anawakubali  ni Ali Kiba na Vanesa Mdee.

pato

Akizungumza na Diva the Boss katika kipindi cha Ala za roho amesema kuwa wasanii ambao ana wasikiliza na anapenda kazi zaao ni Ali Kiba na Vanessa Mdee.

I like Ali Kiba and I am a fan of his works, and I like his works as well, alisema Patoranking.

“Then Vanessa Mdee she is very good friend and also I am fan of her voice, she is very talented. aliongeza kusema.

Alipoulizwa kuhusu kufanana na msanii mwenzie Young Dee alisema ni kweli anasikia taarifa kama hizo lakini anamchukulia kama ndugu yake kutoka kwa mama mwingine, “I have heard a lot of people saying that, I think he is my brother from another mother”

waweza kusikiliza au kudownolad hapa mahojianoa hayo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s