RickRoss Adaiwa kuiba gari la mtoto wake

Rapper RickRoss amedaiwa kuiba gari la mtoto wake aina ya BMW Alpina B7 ambayo aliinunua mwenyewe, Mama mtoto wa RickRoss, Tia Kemp alipost picha kwenye mtandao wa Instagram ( tayari ameifuta) ya mtoto wao akiwa mbele ya gari hilo na kuandika “Stolen Car Alert!!!… Rick Ross takes the car from his Son Again!!,” na kuTag mitandao mingi ya umbea ya Marekani.

untitled 1

Mtandao wa TMZ umeongea na chanzo cha karibu na Rozey ambacho kimesema kuwa RickRoss amechukua gari na hajaiba kwasababu alilinunua mwenyewe na mtoto wake bado ana umri wa miaka 10 kwahiyo ni wazi kuwa hawezi kumiliki gari.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s