Safari ya Gwalu kutoka septemba 28

Msanii kutoka kiwanda cha filamu za kitanzania, Gabo zigamba ambaye alifanya vizuri katika filamu ya Bado natafuta amesema filamu mpya ya Safari ya Gwalu  inatarajiwa kuingia sokoni septemba 28 mwaka huu.

11906349_1479453405682902_1970720133_n

Akiongea na mtandao wa Bongo5 aliuambia mtandao huo kuwa filamu hiyo inatarajia kutoka septemba 28, licha ya hivyo Gabo aluiongeza kuwa filamu hiyo italeta mapinduzi.

“Mimi nategemea mafanikio makubwa sana kwa sababu hii ni miiba ya nyikani haivunjika kwa mkono, ajira isiyo rasmi sasa tunakwenda kuirasimisha,lazima nifanye vitu ambavyo vitaleta mapinduzi na changamoto kwa wengine. safari ya gwalu nifilamu inayokwenda kuishi kwa muda mrefu kwa sababu ni sinema ambayo itarudisha safari ya Gabo, alisema Gabo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s