Tanzania, mama wa aslay afariki dunia

mama wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea katika band ya Yamoto Aslay amefariki dunia akisumbuliwa na presha pamoja na Kisukari katika hospitali ya Temeke.

11906182_762897783815779_1139967047_n

Aitibitisha kutoakea kwa msiba huo meneja wa msanii huyo Saidi Fella amesmea kuwa mama yake na Aslay alikuwa akisumbuliwa na Presha pamoja na ugonjwa wa kisukari.

“Ni kweli amefariki jana usiku alikuwa anaumwa, akakimbizwa hospitali lakini alfajiri akafariki, kikubwa ni presha na kisukari, amefariki katika hospitali ya Temeke, ratiba rasmi itatoka sasa hivi ni mapema sana, alisema Saidi Fella alipokuwa kizongea na Bongo5.

Chanzo: bongo5.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s