Chris brown ashinda kesi ya kumlea mtoto wake, Loyality

Mwanamziki Chris Brown ameshinda kesi ya Kumlea mtoto wake ‘Loyality’ iliyoanzishwa na Mama wa mtoto , Nia Guzman aliyetaka Chris brown anyimwe haki za kumlea mtoto huyo na akitaka kumwona amwone chini ya Ulinzi kwa madai ya kuwa mtoto hakuwa salama chini ya Chris.

untitled

Mahakama imetoa haki sawa ya kumlea mtoto huyo (50/50) na katika hatua nyingine mahakama imetupilia mbali maombi ya Mama wa mtoto kutaka kuongezewa pesa ya malezi kutoka dolla 2,500 kwa mwezi inayolipwa na Chris kwasasa hadi dolla 15,000 kwa mwezi

wpid-wp-1440313085446

Jitihada za Chris Brown wakati wa Tour ya  “One Hell of a Nite”  za kuhakikisha hakuna vurugu inayotokea, ikiwa ni pamoja na kuongeza walinzi zimezaa matunda.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s