Alikiba aungana na wasanii wengine wa Afrika kuachia wimbo wa Pamoja kwa ajili ya siku ya Amani duniani

Tarehe 21 September kila mwaka dunia huwa inasherekea siku ya Amani duniani, Coke Studio imewakutanisha wasanii wakubwa Afrika kwenye wimbo wa Pamoja kwa ajili ya kahamasisha amani duniani.

alikiba

Msanii Pekee atakayeiwakilisha Tanzania ni Alikiba ambapo ataungana na wasanii wengine wakubwa wa Afrika ikiwa ni pamoja na Ice Prince (Nigeria), Maurice Kirya (Uganda), Dama do bling (Mozambique) na Wangechi (Kenya) .

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s