Dj wa kike nchini kenya ashinda tuzo Nollywood

Mwanadada Dj kutoka nchini Kenya Pierra Makena ametunikiwa tuzo kama mcheza filamu bora kwa kushiriki katika filamu moja ya kinigeria ya “When Love Comes Around,” wakati wa awamu ya tano ya tuzo za Nollywood ambazo pia zinafahamika kwa tuzo za Oscar za Afrika.

 150914124428_dj_pierra_makena_640x360_bbc_nocredit

Dj huyo anayeendesha mambo yake kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi, anasema alishangazwa na tuzo hilo licha ya yeye kuwa maarufu katika nyanja ya muziki tu.

Makena ambaye alikuwa akiigiza kama, Didi the unlucky, ambaye ni mwanamke aliye na hamu ya kupendwa, alitangazwa kuwa mshindi kwenye sherehe zilizoandaliwa katika ukumbi wa Orpheum, jimbo la California nchini Marekani mnamo tarehe 12 mwezi huu.

 150914124253_dj_pierra_makena_512x288_bbc_nocredit

Makena alielezea furaha yake baada ya ushindi huo na kuandika kwenyr mtandao wa Instagram akisema kuwa, Mabibi na Mabwana, Nimeshinda! Nimeshinda! Nimeshinda!

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s