Mr. Nice alazwa hospitali

Msanii Lucas Mkenda Mr. Nice mkali wa Takeu amelazwa katika hospitali ya Florida iliyoko mkoani Shinyanga.

12004040_916097041817044_1022485478334169617_n

Taarifa hizi zimetolewa leo kwa mujibu wa kampuni ambayo ilikuwa ikimsimamia iliyoko nchini kenya kupost habari hii kupitia akaunti ya Facebook, lakini hawakuandika nini chanzo cha yeye kulawzwa hospitalini hapo.

“Good Mng jeshi ya GrandPa kindly let’s pray for our brother Mr nice.he’s been admitted@florida hospital in shinyanga tz.‪#‎tumuombe,” waliandika Grandpa Record.

Rapa P the Mc pia alipost picha hiyo kupitia ankaunti yake ya Instagram na kushare kwenye akaunti yake ya face book kwa kuandika “#TUMUOMBEENI #MR_NICE AMELAZWA HOSPITALI INAITWA #FLORIDA IPO SHINYANGA, KWA MUJIBU WA @grandparecords #MUNGU_AMJALIE_AFYA_NJEMA AMEEEN”

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s