THE MUSKETEERS WADONDOSHA NGOMA MPYA

Written by Dauka Somba

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini wanaounda timu ya The Musketeers, Mohammed Juma aka Mo Rhymes na Said Mrisho aka Chief Songea pamoja na wasanii wengine wamedondosha ngoma yao kali inayotambulika kwa jina la Hawapiti.

12003018_938315869589551_145511619942383251_n

Akiongea na Habari Zao Mo Rhymes amesema ndani ya ngoma hiyo kuna vitu vingi ambavyo wamevizungumzia vyenye kuelimisha jamii pamoja na kuburudisha.

Kwa upande wake Chief Songea amesema ngoma hiyo ambayo wameirekodi katika Studio za 84 Records chini ya Prodyuza Ngwesa ilibidi wawepo na wasanii wengine kutoka katika timu hiyo lakini hakikuharibika kitu chini yao.

“Huu ni wimbo wetu wa kwanza kuuachia na hii inadhihirisha jinsi gani tuna uwezo wa kuandika pamoja na kurap, lakini kwa upande wa undergrounds wasikate tamaa wanatakiwa kujua wanachokifanya,” walisema wasanii hao.

Wasanii hao kwa sasa wapo chini ya Prodyuza maarufu nchini, Duke Tachez ambaye ameweza kuwatoa wakali kibao wa hiphop kama Nikki Mbishi, Stereo, One The Incredible, Songa na wengineo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s