Uwoya Awapa Makavu Wasanii Hawa

Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ambaye ameshapitishwa na hama chake cha CCM kuwania ubunge wa viti maalum amewapa makavu baadhi ya wasanii wenzake wa bongo movies ambao hawakiungio mkono chama cha mapinduzi wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Kikwete anaye maliza muda wake.

uwoya876

Kupitia kurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram,  Uwoya awachana wa sanii hao kuwa yule wa nao muunga mkono hakuwahi kuwathamini hata siku moja.

“Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika Mh.Kikwete amekuwa karibu Sana na wasaniii na ametufanya tudhaminike.

Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana!

Kunawatu walikuwa wanashinda Ikulu na Mh, anawasaidia sana katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambaye hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz niniii? Loooo!!!aibu”.Uwoya aliandika.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s