Nchemba asema NEC ni ya watu wote.

Written by Dauka Somba

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imewataka watanzania kuacha na dhana ya nkutokuwa na Imani na tume ya taifa ya uchaguzi NEC kwani imeundwa kwa kuzingatia katiba na sharia ya nchi na sio kutokana na matakwa ya chama cha mapinduzi.

 Mwigulu

Akiongea leo na waandishi wa habari jijini dar es salaam naibu waziri wa fedha mwigulu Nchema amesema kwa mujibu wa katiba iliyopo majaji ambao wanaiongoza tume hiyo wamestahili kuteuliwa na rais Jakaya Mrisho kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho.

Kwa kudhiirisha kuwa tume hiyo ni ya haki na huru naibu mwigulu amesema hadi sasa zipo baadhi ya kesi ambazo chama hicho kimeambulia patupu licha ya kuwa aliyeiteuwa viongozi wake ni mwenyekiti wa chama hicho.

“hakuna jaji hata mmoja aliyewahi kuteuliwa alafu akasema nimeelekezwa nihukumu hivi na wala hakuna jaji ambaye amewahi kuundiwa tume ili atolewe kwa mapendekezo ya raisi kwahiyo hakuna mwanya wa kuingiliwa kwa tume hiyo,alisema Mwigulu.

Amesema madai hayo yanayotolewa na baadhi ya wadau wa siasa chini ni mbinu za kutafuta uhalali wa kulalamika baada ya mkuwa wameshindw lakini kutokana na mazingira yaliyopo ambayo yanadhihirisha kuwa hakutakuwa na wizi kura.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s