New Music: Sean Kingston – wait up

Baada ya miaka michache ya ukimya muimbaji Sean Kingston amerudi na wimbo mpya “Wait Up,”Album ya mwisho ya Sean Kingston ilikuwa Back 2 Life mwaka 2013. Sean Kingston amekuwa akitumia muda mwingi kutengeneza lebel yake binafsi ya ‘Time Is Money Ent’ na huu ni wimbo kutoka kwenye lebel hio utapatikana kwenye album yake ya nne.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s