Baba Haji: Tukumbuke Kuna Maisha Baada ya Oktoba 25

Ukweli mtupu! Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amewataka Watanzania wakiwemo wanasiasa kutumia busara katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu kwani bado kuna maisha baada ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 25.

baba_haji34

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Baba Haji alifunguka:
“Uchaguzi wa mwaka huu una mengi ya kushtukiza na kushangaza. Kwa kweli tutaona na kuyasikia mengi lakini nafikiri staha ingetakiwa kuwa mbele ya uso wa wenye kujua uwepo wa Mungu, maana kuna maisha  baada ya Oktoba 25.”

baba_haji

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s