Soko la hisa nchini limeshuka

Written by Dauka Somba

Soko la hisa nchini limeshuka kwa 62%kutoka bilioni 6.4 hadi 2.4 zilizo sambamba na idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa kupungua kuanzia milioni 4.3 hadi 2.7.

mususa

Akiongea na habari zao meneja miradi wa soko hilo Patrick Mususa, amesema licha ya kushuka huko lakini idadi ya mtaji imeongezeka kutoka triluioni 21.9 hadi 22.3 na idadi ya mtaji kwa makampuni kuendelea kubaki kwenye kiwango cha 9.9.

Pia mususa amesema kiashiria cha soko hilo ambacho kinahusicha sekta za kibenki na kifedha, kibiashara pamoja na viwanda kimeongezeka kwa 54% kutokana na ongezeko la bei kutoka katika makampuni ACASIA, TBL, KCB,NMG pamoja na mengineyo.

“kwa mara nyingine tena tuna penda kuwakaribisha waTanzania wote ili waeze kununua na kuuza hisa kupitia simu za kiganjani  kwa kupiga 15036# ili kupata huduma hii,”

Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita idadi ya mauzo ya soko hilo ilishuka kwa 78% kutoka bilioni 29.8 hadi 6.4 ambapo hisa ziliuzwa kwa asilimia 60 na idadi iliongezeka kutoka trilioni 21.8 hadi 21.9.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s