MUHIMBILI yakaribia kupata msaada wa vifaa vya matibabu na damu

Written by Dauka Somba

Katika kuelekea kwenya Tamasha la magari la Tanzania Autofest Wananchi wametakiwa kuthaminiana pamoja na kujua umuhimu wa hitaji la damu salama kwaajili ya wagonjwa waliopo katika vituo mbalimbali vya afya nchini.

12045297_404182589792604_7758157420766821309_o

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mratibu wa Tamasha hilo la Ally Nchahaga amesema kwa kuliona hilo ndio maana wameamua kuandaa tukio hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Vision Investment. Nchahaga amesema tamasha hilo ambalo litafanyika kuanzia September 18 hadi 20 mwaka huu litategemewa kuvutia zaidi kwani magari ya watu watakao hudhuria yataoshwa na watu maarufu nchini lengo likiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kuisaidia hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kitengo cha waanga wa ajari ili kupata kifaa cha matibabu Dediside Utrasound pamoja na kuchangia hazina ya damu.

12045535_404182959792567_1423440249041138738_o

“tukio hili linausisha moja ya maonyesho muhimu sana yenye mvuto katika ulimwengu wa vyombo vya moto lakini pia na kuonyesha tunajali afya za Tanzania wenzetu,” alisema Mchahaga.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s