Tamasha la sanaa lafikia patamu

Written by Dauka Somba

watanzania wametakiwa kuthamini vya kwao ikiwemo kujitokeza kwa wingi katika tamasha la 34 la kimataifa la sanaa na utamaduni ili liwe bora Zaidi.

12029812_404182346459295_504436703349314990_o

Akizungumza na Habari Zao jiji Dar es salaam mwenyekiti wa tamasha hilo John Mponda amesema hadi hivi sasa jumla ya vikundi 65 vimethibitisha kushiliki ambapo 59 kati ya hivyo ni vya Tanzania sita vitatoka nchi za Kenya,Namibia,Afrika ya kusini,Congo,Zimbwabe pamoja na Korea.

Mponda amesema hayo leo ambapo tamasha hilo litahusisha ngoma za asili,maigizo,sarakasi,mazingaombwe,muziki wa kisasa na asili pamoja na sanaaa za ufundi huku kiinglio kikiwa 3000 kwa wakubwa,1000 kwa watoto na kwa wageni kutoka nje ya nchi 5000. “Napenda kusema kwamba tunatoa wito kwa wadau mbalimbali wa sanaa,makampuni,taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali kujitokeza kudhamini tamasha hili.” Alisema Mponda .

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s