Akothee kufanya Collabo na Flavour.

Msanii wa kike kutoka nchini Kenya Akothee, kwa sasa yuko nchini Nigeria ambako ameenda kufanya tour ya kazi yake, ikiwa moja ya kujitangaza nchini humo.

akothee-na-Flavour

Kupitia akaunti yake ya Instagram Akothee amepost picha akiwa na Flavour N’abania, pia kwa mujibu wa MsetoEA kunataarifa kuwa Akothee anafanya collabo na Mr. Flavour na kuongeza kuwa kazi hizyo inafanywa na producer Mastarcraft.

Akothee ni msanii ambaye anamkubali sana Flavour na kumtumia kama role model wake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s