AliKiba atajwa ndani ya kitabu cha R.Kelly

Nguli wa R&B Robert Kelly ama R. Kelly, anacho kitabu ambacho kinaelezea safari yake ya maisha ndani na nje ya muziki, kutoka katika umaskini hadi umaarufu, (autobiography) ambacho amekipatia jina la Soulacoaster. The Diary of Me.

kitabu-cha-r.kelly_

Lakini ndani ya kitabu hicho alikihariri kwenye ukurasa namba 392 kwa watu wawili ambao ni mama yake mzazi ambaye alifariki mwaka 90 pamoja na mwalimu wake wa muziki wa high school Lena McLin.

katika kitabu hicho ambacho kilitoka june 28 2012, ndani ya kitabu hicho pia ameelezea project ambayo alishawahi kuifanya ya ONE 8 ambayo ilishirikisha wasanii wa Africa kutoka katika nchi nane ambazo ni Tanzania iliyowakilishwa na AliKiba, Uganda Navio, Kenya Amani, Nigeria 2face Idibia, Congo DR fally Ipupa, Zambia JK, 4×4 Ghana, na Movaizhaleine kutoka kutoka Gabon.

hii ndio kurasa ambayo alikiba na wasanii wengine wametajwa.

R.kellys-book

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s