Belle 9 akerwa na wasanii wanaojianika

Star wa muziki Belle 9, amezungumzia tabia ya wasanii kuanika maisha yao binafsi katika vyombo vya habari ikiwepo mapenzi, kwake hii ikiwa si sawa na akiwa haamini kama inaweza kumsaidia kivyovyote msanii kusimama kimuziki

u_2

Belle 9 amesema kuwa, hiyo inatokana na kujali pia familia yake ambayo imemlea katika misingi ya dini akiamini kabisa kuwa kuna mambo akiyafanya yanawagusa moja kwa moja, neno lake kwa wasanii wengine pia likiwa ni kuweka muziki mbele na mambo binafsi kwa ajili yao binafsi.

Kwa kuanzia na kwa kutathmini hali halisi katika soko la muziki Bongo, hapa Belle 9 anafunguka juu ya tabia hiyo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s