Davido atoboa, kuwa collabo na Joh makini

Msanii kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Fans Mi na rapa kutoka Tanzania joh Makini, mapema wapenzi wa muziki wao watarajie kazi yao.

Davido_Post

Kupitia akaunti yake ya Twitter usiku wa tarehe 18 Davido ali-tweet kuwa na collabo kati yake naJoh makini,

davido-Joh

hii yaweza kuwa collabo ya tatu kwa kipindi hiki kwa msanii Joh Makini, ukijumuisha ile ambayo ilitangazwa ya AKA pamoja na KO, pia ni vivyo hivyo kwa Davido ukiachilia mbali ile ya Diamond, na ile ambayo aliitangaza na AliKiba.

Johmakini.1

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s