JB: Siasa Sio Vita…Sitaki Utoto Nikitangaza Kazi Zangu

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen maarufu kama JB ameanza kuathiriwa na vuguvugu za kisiasa katika kazi zake za filamu.

JB987

JB ambaye amekuwa akionekana katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi, amejikuta katika wakati mgumu kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupokea matusi na kejeli alipotangaza ujio wa kazi mpya marehemu Adam Kuambiana ambaye anadaiwa alikuwa Chadema.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram JB ameandika:

Narudia tena siasa sio vita…marehemu Adam alikuwa Chadema kuliko wengi wenu, mpaka alikuwa campaign manager wa mkewe Janet kule Kawe kwenye udiwani, mbona tulikuwa tunashirikiana? Wasani mbona wengine wako UKAWA lakini bado ni marafiki, nina ndugu ambao wako UKAWA na nyinyi pia mna ndugu wako CCM mnagombana nao? hamshirikiani nao ? au mme ona sinema zetu tu…vitu vyote mnavyo nunua madukani vimetengenezwa na ukawa? acheni siasa za kijinga. sitaki utoto nikitangaza kazi zangu…kama hupendi piga kimya.

Bongo 5

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s