Prezzo akanusha kuhusika na bishara ya madawa

Msanii wa Hip hop toka Nairobi Nchini Kenya Jackson Ngechu CMB Prezzo amekanusha taarifa za kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya baada ya kuonekana akiwa kwenye picha ya pamoja na mfanya biashara wa madawaya kulevya Richard Wachira, ambaye alikamatwa na polisi mjni Mombasa.

Prezzo1-650x434

Prezzo amesema yeye ni kioo cha jamii hivyo muda mwengine hajui anapiga picha na nani

“Sijawahi kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, napiga picha nyingi na marafiki zangu na mashabiki”, alisema Prezzo.

Picha ya Prezzo akiwa na mfanya biashara huyo imesambazwa kwenye vituo vya polisi, na mtuhumiwa huyo alikamatwa Mombasa katika eneo la Majengo Sokonji, na kufikishwa kituo cha polisi cha Makupa Police na kufunguliwa mashtaka tarehe 7/11/9/2015.

Mshtakiwa huyo ambae alikamatwa na mifuko 67 ya heroin, gram 50 za bangi, ametoroka kituoni hapo na kujificha ndani ya mji wa Nairobi.

Chanzo: eatv,tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s