Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo ambao wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

GABO87

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

“Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria yeye  ni kusogeza mbele  fani ya filamu kwani  ndiyo chanzo  kikuu cha mapato yake,” alisema.

“Watu wasikae na kusema soko la filamu  litakufa  kwa sababu  baadhi ya wasanii wameiweka pembeni,”alisema.

Chanzo: Lete Raha

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s