Wolper Atoa Udhuru 40 ya Tiffah, Amkumbusha Diamond Kutoroka…

Mapema jana staa wa Bongo Movies, Jacqueline Lowassa kupitia kurasa wake kwenye mtandao wa Instagram  aliandika haya akitoa udhuru wa kutohuduria 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva  Diamond Platnum, Tiffah iliyofanyika jana nyumbani kwa Diamond.

wolper54

40 ya Tiffah Lee Queen Asante bwana Demonde kwa mualiko ..ila ulivyomswahilI kila mualiko nakua nakamtoko au nakua sipo kabisa Dar sasa kivumbi pale kwenye harusi yangu ule mualiko sasa utakavyojisafirisha ili kunilipizia usifanye hvyo mambo yanaingiliana..lol …hongera sana Naseeb najua furaha uliyonayo Mungu kukuzia Tiffah wako…coz ilikua ni ndoto katika maisha yako kua na mtoto kikubwa Mungu akusimamia kwenye sherehe kuna Mambo mengi so nakuombea uanze salama na umalize salama nawale wageni waalikwa wakose chakukosoa maana tunajijuaga@diamondplatnumz usisahau kutoroka bado ujachelewa

Jacqueline Wolper “@wolperstylish on Instagram

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s